Kila kitu tunaamini kilikuwa au kina mwanzo isipokuwa tu yanabaki maswali yasiyo na majibu kibinaadam kama vile 'Mungu alianzia wapi'? Lakini kwa upande wa " 'Baragumu' Kwaya" aaaaa' sisi tulianzia mbali, tukapiga hatua, tukasonga, na sasa muda kitambo kidogo tulikuwa hapa na tumesonga mbele zaidi. 'MUNGU NI MWEMA'
No comments:
Post a Comment