Friday, July 17, 2015

BANNER ZA MATANGAZO

Hii ndiyo iliyokuwa habari kuu kwa jiji la Mbeya na Tanzania kwa ujumla.

Ni baada ya maombi ya wapenzi na washabiki wa kwaya hii ya Baragumu kuomba kwamba tarehe ya Tamasha la Uzinduzi isogezwe mbele kidogo ili kuwapatia  kamuda kujiandaa baada ya kuhudumu kwenye makambi. Hivyo tarehe rasmi ya tamasha lao itakuwa 06-09-2015 kwene ukumbi wa Lutherani Uyole njia panda. 
Wote mnakaribishwa....!!!!

Wednesday, July 15, 2015

UONGOZI WA KWAYA 2015

HUU NDIO UONGOZI WA KWAYA 2015.

Mchungaji wa Kanisa / Kwaya

Mch. Isack Mazemule

MWENYEKITI wa KWAYA

Joyce  Jonasi

M/KITI / MSAIDIZI 
Onesmo  Dicksoni

KATIBU

Tumain Mwakaleke
Grace  Joseph

WALIMU

Maicko Philemon
Kelvin  Mkodo

MSHAURI WA  KWAYA

Joram  Masebo.

M/KITI WA WAFADHILI

Msafiri  Mahenge.

Wafadhili Wengine

Mr. Dady  Thomas

Sunday, July 12, 2015

UZINDUZI WA ALBUM YA VIDEO

- HILI LILIKUWA TANGAZO MUHIMU 

Ni baada ya maombi ya wapenzi na washabiki wa kwaya hii ya Baragumu kuomba kwamba tarehe ya Tamasha la Uzinduzi isogezwe mbele kidogo ili kuwapatia  kamuda kujiandaa baada ya kuhudumu kwenye makambi. Hivyo tarehe rasmi ya tamasha lao itakuwa 06-09-2015 kwene ukumbi wa Lutherani Uyole njia panda. 
Wote mnakaribishwa....!!!!

Utangulizi huu unakujulisha kuwa Mambo yamewiva barabara kabis. Askari hawa wapiganaji, Kwaya ya BARAGUMU kutoka Uyole Mbeya wamejipanga vilivyo kukutambulishia Albamu yao ya Pili ya Video ambayo wataizindua Tar 06 - 09 mwaka huu 2015. Usikose Mtu wa Mungu.

UYOLE BARAGUMU CHOIR- HALLELUYA

- HILI  LILIKUWA TANGAZO MUHIMU

"Halleluya' Tuitikie kwa pamoja "Amen' Kwa Kwaya ya Baragumu toka Uyole jijini Mbeya Tz. Na tujiandae kuwa pamoja nao kwenye uzinduzi wa Albamu yao ya pili ambayo inasubiriwa kwa hamu na wapenzi, wakazi wa Mbeya na Watanzania wote kwa ujumla.

Ni baada ya maombi ya wapenzi na washabiki wa kwaya hii ya Baragumu kuomba kwamba tarehe ya Tamasha la Uzinduzi isogezwe mbele kidogo ili kuwapatia  kamuda kujiandaa baada ya kuhudumu kwenye makambi. Hivyo tarehe rasmi ya tamasha lao itakuwa 06-09-2015 kwene ukumbi wa Lutherani Uyole njia panda. 
Wote mnakaribishwa....!!!!

TULIANZA NAMNA HII

Kila kitu tunaamini kilikuwa au kina mwanzo isipokuwa tu yanabaki maswali yasiyo na majibu kibinaadam kama vile 'Mungu alianzia wapi'? Lakini kwa upande wa " 'Baragumu' Kwaya"  aaaaa'  sisi tulianzia mbali, tukapiga hatua,  tukasonga, na sasa muda kitambo kidogo tulikuwa hapa na tumesonga mbele zaidi. 'MUNGU NI MWEMA'