Wednesday, November 18, 2015
Saturday, November 14, 2015
Video Zetu - Furahia kutazama
Friday, July 17, 2015
BANNER ZA MATANGAZO
Hii ndiyo iliyokuwa habari kuu kwa jiji la Mbeya na Tanzania kwa ujumla.
Ni baada ya maombi ya wapenzi na washabiki wa kwaya hii ya Baragumu kuomba kwamba tarehe ya Tamasha la Uzinduzi isogezwe mbele kidogo ili kuwapatia kamuda kujiandaa baada ya kuhudumu kwenye makambi. Hivyo tarehe rasmi ya tamasha lao itakuwa 06-09-2015 kwene ukumbi wa Lutherani Uyole njia panda.
Wote mnakaribishwa....!!!!
Wote mnakaribishwa....!!!!
Wednesday, July 15, 2015
UONGOZI WA KWAYA 2015
HUU NDIO UONGOZI WA KWAYA 2015.
Mchungaji wa Kanisa / Kwaya
Mch. Isack Mazemule
MWENYEKITI wa KWAYA
Joyce Jonasi
M/KITI / MSAIDIZI
Onesmo Dicksoni
KATIBU
Tumain Mwakaleke
Grace Joseph
WALIMU
Maicko Philemon
Kelvin Mkodo
MSHAURI WA KWAYA
Joram Masebo.
M/KITI WA WAFADHILI
Msafiri Mahenge.
Sunday, July 12, 2015
UZINDUZI WA ALBUM YA VIDEO
- HILI LILIKUWA TANGAZO MUHIMU
Wote mnakaribishwa....!!!!
UYOLE BARAGUMU CHOIR- HALLELUYA
- HILI LILIKUWA TANGAZO MUHIMU
"Halleluya' Tuitikie kwa pamoja "Amen' Kwa Kwaya ya Baragumu toka Uyole jijini Mbeya Tz. Na tujiandae kuwa pamoja nao kwenye uzinduzi wa Albamu yao ya pili ambayo inasubiriwa kwa hamu na wapenzi, wakazi wa Mbeya na Watanzania wote kwa ujumla.
Ni baada ya maombi ya wapenzi na washabiki wa kwaya hii ya Baragumu kuomba kwamba tarehe ya Tamasha la Uzinduzi isogezwe mbele kidogo ili kuwapatia kamuda kujiandaa baada ya kuhudumu kwenye makambi. Hivyo tarehe rasmi ya tamasha lao itakuwa 06-09-2015 kwene ukumbi wa Lutherani Uyole njia panda.
Wote mnakaribishwa....!!!!
Wote mnakaribishwa....!!!!
TULIANZA NAMNA HII
Subscribe to:
Comments (Atom)