Saturday, November 14, 2015

Video Zetu - Furahia kutazama

Hapa tunajivunia kwa albamu yetu ya kwanza ambayo ilitutambulisha rasmi duniani na kufanya tupate mialiko ya nje kwa wingi mno. Na tulipoimba watu walibarikiwa na kuponywa. Wengi walikuja kwa Yesu.